Loading...

Muonekano bomba, Camera bomba, Ulinzi bomba. Je wadau kati ya hizi sifa kuu tatu umeikubali ipi zaidi? .
Comment hapo chini kwa kuandika chaguo lako kisha Repost kujua na wengine wanapendelea nini zaidi😝😝

8 months ago 61 0

Tagged Profiles

915 Likes (Last 100 Likes)

61 Comments

 • van_masudi
  Ivi kwanini msitutengenezee simu za kutoa betri izi zilizoonganishwa moja kwa moja zinawah kuisha chaj na ni za ovyo sana mpaka sasa nabadili simu kila kukicha kwa sababu ya chaji - 8 months ago
 • samsonmussa50
  Bei gan - 8 months ago
 • chin_kwin_boy
  Inauzwa bei gan - 8 months ago
 • innountouchable
  Muonekano aseee uko 🔥🔥🔥@tecnomobiletanzania - 8 months ago
 • man_shizzo66
  nice - 8 months ago
 • man_shizzo66
  super - 8 months ago
 • pilly6891
  Zoteee - 8 months ago
 • therealfreddytz
  @tecnomobiletanzania et kurudisha cm dukan kwen inawezekana - 8 months ago
 • imma_gukwi
  @malach.jr tuma neno ZAWADI kwenda 15300 - 8 months ago
 • mushabkombo
  Mko vizuri sana tecnomobileTanzania - 8 months ago
 • ludovicdominic
  Zote! - 8 months ago
 • ibrahimuadolfu
  Shiling ngapi cx - 8 months ago
 • malach.jr
  Samahani nimenunua tecno pop 1 nikaambiwa unapewa na offer ya 8GB cjui na namna ya kujiunga ili nipate naombeni msaada - 8 months ago
 • claudykivuko75
  Bei gani hiyo - 8 months ago
 • kay_asha
  Kwa kava kali za tecno nichek - 8 months ago
 • rashidusalmin12
  Began - 8 months ago
 • nelsonknowz
  @dikiteta_magembe tecno hakuna simu ni ubabaishaj tu - 8 months ago
 • nelsonknowz
  Tecno simu zenu mbovu yani bado sana mm nna W5 yan ikifika chaj asilimia 50 tu inaanza kustak mara ijizime yan simu haielewek na nmejarib kufatilia watumiaj wengi wa simu zenu wanapata matatizo kma yangu na mda mwingine Bluetooth haifanyi kazi ndo maana mm nakuwa na waswas sana nitoe hela yangu kununua sim ambazo ni vimeo hyo haiwezekan inabidi mtuambie tatizo nini kwanza kwenye sim zenu na je, hayo matatizo mmeyarekebisha kwenye matoleo yenu mapya. Ila mkiandikiwa matatizo kama haya nyie hamjib yan mnachotaka msifiwe tu ndo mnajibu 😎😎😎 - 8 months ago
 • ibrah_livinje
  Mm mwanafamilia wa @tecnomobiletanzania nilinunua tecno #camonX hata wiki haijachukuwa nikakumbwa na majanga ya mafuriko cm nilikuwa nimeacha ndan kwenye chaji nikatoja na cm ndogo kurud nakuta maji yamevunja ukuta cm yangu haipo, nisaidien @tecnomobiletanzania - 8 months ago
 • safatzng
  Napenda kujua napataje kioo cha Camon CX - 8 months ago
Load more comments